Page 122 - Your Guide to University Life
P. 122
Hizi hapa ni baadhi ya websites ambazo unaweza ukazitumia kujifunza huo ujuzi wa kidijitali:
-Coursera
-edX
-Udemy
-iTunes U free courses -MIT OpenCourseWare -Codecademy
Chuoni kunaweza kuwa ndio sehemu nzuri ya kutumia muda wako kukuza vipaji vyako au kujifunza vizuri mambo mengine unayoyapenda na ku-practice yale unayopenda kuyafanya.
Kama pia unaweza kujifunza skills za mikono kama useremala, ushonaji nk unaweza ukafanya haya mambo kiubunifu zaidi ukimaliza chuo kama utapenda kujiajiri nayo. Usihisi kwa vile uko chuo uko juu na hivyo mambo fulani hauwezi kuyafanya, kwenye utafutaji maisha, unaweza kujiajiri kwa chochote.
Skills hizo na nyingine nyingi unaweza kujifunza ukiwa chuo kupitia mitandao au moja kwa moja toka kwa mtu na zikakusaidia kujiandaa vizuri unaporudi mtaani hata kama utakuwa na cheti.
122