Page 129 - Your Guide to University Life
P. 129
How to make the most of your life in university- Grabbing opportunities and using resources available in university to the maximum
Chuo kuna a lot of opportunities, a lot, a lot, a lot and grab as many as you can please.
1) Free Wi-Fi, use it as much as you can, there is no other place utapata free Wi-Fi for yourself, free kama chuo. Kazini utatakiwa kuwafanyia kazi plus I think wanajua ukifanya vitu vyako.
2) Driving course or any other learning course. Gharama inakuwa chini kwa wanachuo wanaosoma ila pia process zinakuwa za haraka kwa vile una barua ya dean tofauti na ukija mtaani process huwa ndefu na barua za wengi huitajika.
3) Travelling opportunities, za nje ya nchi na ndani ya nchi. Kuna fursa nyingi huwa zinahitaji wanachuo kushiriki nk, na huwa tunaposti fursa hizi kwenye tovuti ya maishayachuo.com***
4) Get a passport or open accounts (it is easy kufanya vitu kama kufungua account au kupata passport ukiwa chuo kwasababu dean anakudhamini ila ukitoka chuo process ni ndefu, so make the most out of your time na watu unaoweza kuwatumia chuo).
5) Make friendship with lecturers wawe your referees.
6) LearndifferentstuffsonYouTubenatovutinyingine, remember Wi-Fi is free.
129