Page 127 - Your Guide to University Life
P. 127

Hizi hapa ni ideas chache za jinsi unavyoweza kula bata chuoni kwa gharama nafuu;
- Andaeni sherehe chumbani kwenu kwaajili ya wana- room
- Andaeni sherehe kama mnakaa off campus sehemu mnazoishi
- Nenda kuangalia filamu mwenyewe au na marafiki zako
- Nenda kula sehemu mwenyewe au na marafiki zako
- Safiri; ukisafiri na vikundi vya dini gharama inakuwa ndogo. Kwahiyo unaweza enda matembezi nao au kihuduma.
- Tembelea vivutio vya mkoa au vya sehemu uliyopo wikiendi
- Nenda camping
- Panda milima kama ipo
- Wa-surprise marafiki zako kwenye kumbukumbu zao za kuzaliwa
- Fanya sherehe kwaajili yako kwenye siku ya kumbukumbu yako ya kuzaliwa
- Kufanya hobby yako, kama ni mpira, uchoraji nk.
Jambo lolote unalolifanya ambalo ni bata kwako, kuwa huru kulifanya.
Ni muhimu kula bata pia chuoni kwasababu unatengeneza kumbukumbu za maisha yako ya chuo
127




















































































   125   126   127   128   129