Page 18 - Westlands Primary School Nairobi Kenya
P. 18
Paliishi samaki mdogo kwenye ziwa kubwa. Siku moja, alipatana na nyangumi aliyekuwa na nguvu za uchawi.
Alipomuona nyangumi, akajawa na furaha mingi akaanza kuchezacheza majini. Nyangumi pia alifurahia sana kuoata rafiki, naye akaanza kucheza majini, lakini alipopiga maji, samaki akarushwa juu hewani. Nyangumi alijawa na huzuni, akamtafuta na kumtafuta rafiki yake mpya, na mwisho akampata.
Nyangumi akaamua kutumia nguvu zake za uchawi, akamfanya samaki ule aweze kuongezeka na kuongezeka kwa ukubwa wake. Alifikiria kuwa akifanya hivyo, ingekuwa rahisi kwake na samaki ule kucheza pamoja. Jambo hili lilifanikiwa kwa mda mfupi tu.
Lakini siku moja, samaki akakuwa mkubwa sana hadi akapasuka. Nyangumi akajawa na huzuni, akapata funzo kuwa anafaa awakubali rafiki zake walivyo, na asiwabadilishe akitumia uchawi.
FISH AND WHALE Ivy Njeri, 10
A small fish once lived in a large ocean. One day, he met a magical whale.
When he saw the whale, he was very excited that he splashed and splashed in the water. The whale was also very happy to have a friend, so he splashed and when he did, the fish went flying in the air. The whale was very sad, so he looked and looked for his new friend, and soon found him.
The whale decided to do magic and place a spell on the fish so he would grow bigger and bigger. He thought this way, it would be easier to play together. It worked for a little while.
But one day, the fish got so big he popped. The whale was very sad, and learned he should accept his friends as they are, and not change them with magic.