Page 132 - Your Guide to University Life
P. 132
Things I learned when I was in university
-Kushirikiana na watu, na kushare vitu na watu. -To be there for people.
-To have fun in whatever situation I am in.
-To know that it will work out at the end, see I graduated hata baada ya kupitia magumu yote kwa miaka minne, so it worked out.
-To make the most out of my life
-Thamani yako sio GPA, unaweza kuwa na GPA kubwa na zaidi, lakini bado haielezei thamani yako. GPA haionyeshi vile maisha yako yatakavyokuwa mtaani
-You are not an island, usiogope kuomba msaada unapouhitaji
-Kuwa kimbelembele, usisubiri mambo yakutokee, sababisha mambo yatokee. Ukiona sehemu inahitaji muandaa event, omba uandae, utajifunza mbeleni
-To make friends, and how to leave the ones that I think are bad for me
-To have a stand, and my own standard
-That my opinion matter
-Ni muhimu kuwa na msimamo wako, kujitambua na kuishi sawasawa na principle zako
132