Page 133 - Your Guide to University Life
P. 133

-Watu au vitu ninavyokutana navyo kwenye maisha muda mwingine huwa ni vya muda, au kwaajili ya kunifundisha jambo fulani kuhusu mimi, watu au maisha. Muda wa mtu ukiisha kwenye maisha yangu niwe mwepei kuwaachilia waende
- Kujishusha na kuomba msamaha pale ninapokosea
- Aina ya mpenzi ninayependa kuwa naye baada ya kukutana na kuachana na wapenzi kadhaa walionifundisha vitu nisivyovitaka na ninavyovipenda kwenye mahusiano
133































































































   131   132   133   134   135