Page 12 - SWAHILI_SB00_The-Story
P. 12

MPANGO WA MUNGU WA UKOMBOZI ULIANZA
        WAKATI ALIPOMCHAGUA MTU MMOJA –
         ABRAHAMU. MUNGU ALIMWAHIDI…



              “NITAKUFANYA UWE
                 TAIFA KUU.”


           MUNGU AKAMWAHIDI UZAO     MMOJA WA UZAO WANGE NDIYE
          WENYE IDADI KUBWA KAMA VILE   ANGEFANYIKA KUWA MKOMBOZI
              NYOTA ZA ANGANI.            WA ULIMWENGU.



        ABRAHAMU ALIPOHITIMISHA
      MIAKA MIA MOJA, ALIMZAA MWANA
       JINSI ALIVYOAHIDIWA NA MUNGU.

         LAKINI MUNGU
      AKAMJARIBU ABRAHAM.

                            “MCHUKUE MWANAO
                          UMTOE KAMA DHABIHU YA
                              KUTEKETEZWA.”





















        ABRAHAMU ALITII – AKIAMINI YA KUWA MUNGU                 ALIPOKUWA TU, KARIBU KUMWANGA-
        ATAMFUFUA MWANAWE KUTOKA KWA WAFU.                             MIZA MWANAWE…



      “ABRAHAMU! USIMDHURU..”











              ADAM NAMED HIS
         BEAUTIFUL WIFE EVE. SHE WOULD           “HIVI SASA NAJUA UNANIPEN-
       BECOME THE MOTHER OF ALL MEN AND          DA KWA KUWA HUJANIZUILIA
                 WOMEN.                                MWANAO.”

     AKATAZAMA NA KUONA MWANAKONDOO
     KICHAKANI AMENASWA KWA PEMBE ZAKE                                  ABRAHAMU NA MWANAWE
     AMBAYE NDIYE WA KUTOLEWA DHABIHU                                  WAKAITOA DHABIHU AMBAYO
              KWA MUNGU.                                                  MUNGU ALIWAJALIA.
   7   8   9   10   11   12   13   14   15   16   17