Page 14 - SWAHILI_SB00_The-Story
P. 14

MUNGU AKAWAREJESHA
         KATIKA NCHI ALIYOMWAHIDI
               ABRAHAMU.


















        HATA INGAWA WATU WA MUNGU
        WALIMWONA MUNGU AKIFANYA
        MIUJIZA TENA NA TENA – BADO
           HAWAKUTII AMRI ZAKE.




            WALIABUDU MIUNGU NA
              KUTENDA DHAMBI.


                 HAYA WALIYAFANYA KWA
                     MDA MREFU.



                  WATU WENGI WAKASEMA YA
                  KUWA HAWAKUTAKA KUITII
                  SHERIA YA MUNGU ALIYOILE-
                    TA KUPITIA KWA MUSA.
   9   10   11   12   13   14   15   16   17   18   19