Page 8 - SWAHILI_SB02_Noah
P. 8

SAFINA ILITUA KATIKA NCHI KAVU
          KWA SIKU 150 NDIPO NUHU
          AKAMTOA KUNGURU.
                 MBONA
                UKAFANYA
               HIVYO BABA?                              WAKATI UJAO
                        AKIWA KATIKA                     NITAMTOA
                        NYANJA ZA JUU,                  NJIWA. TUNAO
                     KUNGURU ANAO UWEZO                 NJIWA SABA..
                      WA KUONA NCHI KAVU.
                       AKIREJEA, TUTAJUA
                        KWAMBA MAJI
                        HAYAJADIDIMIA-








                           LA, BABA, NI
                       HIVI, KWA NINI ULIMTUMA
                      KUNGURU MMOJA? TUNAO
                       KUNGURU WAWILI TU. JE
                       ITAKUWAJE AKIPATWA NA
                            MABAYA?

                               LAKINI NJIWA HAKUPATA MAHALI PA KUTUA
                               KWA MAANA MAJI YALIKUWA MENGI.
























         JUMA MOJA BAADAYE…
           KWA NINI
          KAKA, BABA?
            ULIMTUMA
            NJIWA JUMA
            LILILOPITA NA
           HIYO HAIJALETA
            JIBU LOLOTE.






                                 NDIO, NINA HAJA
                                SANA YA KUJUA JINSI
                                MAMBO YALIVYO KULE
                                  NCHE, LAKINI
                                 NAOGOPA KUUFUN-
                                  GUA MLANGO!





                                              MWANZ
                                              MWANZO 8:6-9O 8:6-9
   3   4   5   6   7   8   9   10   11   12   13