Page 4 - Westlands Primary School Nairobi Kenya
P. 4
A mother turtle laid eggs and hid them in the soil, so no one could find them. Then afterwards, she went into the ocean. After a while, the eggs hatched and the baby turtles “hatchlings” struggled to come out. Eventually, they did and also went to live in the ocean.
MOTHER TURTLE Keira Hawi, 8
Mama kobe alitaga mayai yake na akayaficha kwenye mchanga ndio mtu asije akazipata. Baadaye, akaenda baharini. Baada ya mda, mayai hayo yakaanza kupasua, na watoto wa kobe wakapambana kutoka nje. Hatimaye, walitoka nje na wao pia wakaenda kuishi baharini.