Page 5 - Westlands Primary School Nairobi Kenya
P. 5
Long time ago in the Inchansia Kingdom, there lived a witch. The witch cast a spell on the kingdom and there was no rain for many years. The king asked the magicians to make it rain but they could not. The magicians went to the witch and asked her to make it rain for just one day. The witch lifted the spell and it rained. However, the children were not happy because they had to stay indoors. In the morning, the children saw a rainbow and they were happy. After that everyone was happy!
Zama za kale, kwenye Ufalme wa Inchasia, paliishi mchawi. Mchawi huyo aliroga Ufalme huo na hakukuwa na mvua kwa miaka mingi. Mfalme tao akauliwa waganga watengeneze mvua lakini wakashindwa. Basi wanganga wakaenda kwa yule mchawi wakamuomba afanye mvua inyeshe ata kama ni kwa Siku moja tu. Mchawi alikubaki, akatoa ule urogi wake na mvua ikanyesha. Hata hivyo, watoto hawkufurahishwa kwa kuwa walikwama ndani ya manyumba yao. Kulipokucha, watt waliona upinde wa mvua na wakawa wenye furaha sana. Baada ya hiyo, kila itu alikuwa mwenye furaha.
THE RAINY DAY Neema Joyce, 8