Page 7 - Westlands Primary School Nairobi Kenya
P. 7
THE BALLERINA
AND THE KING BEAR Melissa Muthoni, 8
Once upon a time, there lived a ballerina called Sophia. One day as Sophia was going for her class, she met a bear who was wearing a crown. The bear invited her to the palace. Then Sophia referred to the host as “The Prince” instead of “The King”. This made the bear angry and he banished Sophia from the Kingdom.
Sophia then went to her class crying and the teacher asked her to go back and apologize to the King Bear. She went back and apologized and while they were talking, she forgot and again referred to the King Bear as the Prince. This angered the King Bear who banished Sophia from the Kingdom for the second time. Sophia went home crying but she had no choice but leave the Kingdom.
Hapo zamani za kale, paliishi mcheza bale wa kike kwa jina Sophia. Siku moja Sophia akienda darasani akakutana na Bea aliyekuwa amevaa taji. Bea alimkaribisha kwenye ikulu yake.
Sophia akamuita mfalme jina mkuu. Jambo hilo lilimfanya mfalme akasirike na akampiga marufuku Sophia kwa ufalme huo, Sophia akaenda akilia darasani na mwalimu akamwambia arudi amuombe msamaha Mfalme Bea.
Alirudi na kuomba msamaha, lakini walipokuwa wakiongea, alisahau akamuita tena mfalme jina mkuu. Hili jambo lilimkasirisha sana Mfalme Bear aliyempiga marufuku Sophia mara ya pili. Sophia azienda nyumbani akilia lakini hakuwa na chaguo ila kuhama ufalme huo.