Page 9 - Westlands Primary School Nairobi Kenya
P. 9
THE DRAGON AND HIS YOUNGER BROTHER
Hilary Clarence, 10
There was a very friendly dragon named Tella. Tella had a brother who was not always very friendly, his name was Samson.
One day, Samson got very angry and burned everything when he learned Tella was the older brother. He wanted to be the first born, but he couldn’t be, since he was already the second born. The more he thought about this, the angrier he got.
Samson decided to fight Tella. But Tella did not want to fight him, so he ran away. He ran to a far away village on top of a mountain in Tanzania. He never returned to Kenya.
As Samson grew older, he was very sad because he never got to see his brother anymore. He had burned everything, so nothing was left and he was lonely. Just because Tella left, it did not mean Samson was now the first born, he was always going to be the younger son. Samson wished he learned this lesson before he chased his his brother away.
Kulikuwa na joka la kirafiki aliyeitwa Tella. Tella alikuwa na ndugu aliyekuwa si rafiki sana. Jina lake nduguye ilikuwa Samson.
Simu moja, Samson alishikwa na hasira akachoma kila kitu alipogundua kuwa Tella alikuwa mkubwa wake. Alikuwa anataka yeye awe kifungua mimba, lakini hangeweza kuwa, kwa kuwa alikuwa yeye ni mzaliwa wa pili. Alivyozidi kufikiria lazo hili, ndivyo alivyoendelea kushikwa na hasira.
Samson aliamua kupigana na Tella. Lakini Tella hakutaka vita, akatoroka. Alitorokea kijiji kilichokuwa mbali sana, juu ya Lima kule Tanzania. Hajawahi rudi Kenya.
Samson alivyozidi kuzeeka, alishikwa na huzuni kwa kuwa hakuwahi pata nafasi ya kumuona ndugu yake tena. Pia alikuwa amechoma kila kitu, na hakuna kilichokuwa kimeachwa akawa na huzuni. Sababu Tella alitoroka halikumfanya Samson awe kifungua mamba, kamwe angebaki kuwa ndugu mdogo. Samson alitamani angekuwa amepata funzo hili kabla ya kumfurusha ndugu yake.