Page 26 - Pricelist-2020
P. 26
EAEP 2020 CATALOGUE
wAANDISHI wA KIAFRIKA
Waandishi wa Kiafrika ni mkusanyiko wa hadithi zinazoshughulikia maswala mbalimbali yanayoziathiri jamii zetu, hususan maswala-ibuka
kama vile ufisadi, UKIMWI, uhifadhi wa mazingira, unyumba na kadhalika. Hadithi hizi zimeandikwa na waandishi wenye tajriba tofauti za
kimaisha. Kuna wale ambao wana tajriba kubwa kiumri na kiuandishi, na pia kuna vijana ambao wanaandika kwa mara yao ya kwanza. Ni
hadithi ambazo zitasisimua na kuchochea hisia za masikitiko, zitasuta udhaifu wa kibinadamu na pia kutoa mwelekeo ufaao.
ISBN TITLE AUTHOR PRICE
25-522-2 Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine P. I. Iribemwangi (Mhr.) 500.00
46-203-1 Anasa Yusuf King’ala 375.00
46-901-x Asali Chungu Said A. Mohamed 450.00
46-366-6 Chembe cha Moyo Alamin Mazrui 290.00
46-070-5 Doa la Mauti Muwanga & Geranija 290.00
46-856-0 Duniani Kuna Watu Mohamed S. Abdulla 350.00
46-051-9 Kusanyiko la Mashairi: Anthology of Swahili poetry Ali Ahmed Jahadhmy 290.00
46-213-9 Mafuta Katama Mkangi 320.00
46-122-1 Mchimba Madini Peter Abrahams 310.00
46-104-3 Mshale wa Mungu Chinua Achebe 415.00
25-591-4 Msururu wa Usaliti Mwenda Mbatiah 470.00
46-039-x Mwindaji Hodari Caleb Ogejo 300.00
46-085-3 Mwakilishi wa Watu Chinua Achebe 480.00
46-868-4 Mwana wa Yungi Hulewa Mohamed S. Abdulla 480.00
46-167-1 Shetani Msalabani Ngugi wa Thiong’o 530.00
46-016-0 Usilie Mpenzi Wangu Ngugi wa Thiong’o 400.00
46-813-7 Vipuli vya Figo Emmanuel Mbogo 550.00
46-716-5 Walenisi Katama Mkangi 460.00
46-072-1 Wema Hawajazaliwa Ayi Kwei Armah 560.00
46-369-0 Malenga wa Ziwa Kuu: Maswali na Istilahi za Kifasihi Wallah bin Wallah 515.00
46-243-3 Sanaa ya Umalenga S. Karama 340.00
25-777-2 Kopo la Mwisho na Hadithi Nyingine Abu Marjan 420.00
25-776-5 Sauti ya Umma Okoiti Omtatah 350.00
25-631-7 Tamaa ya Pendo P.M Geranija 480.00
25-660-7 Dunia Tambara Bovu Shisia Wasilwa 340.00
25-872-4 Mwele Bin Taaban (New) Mudhihir Mudhihir 350.00
25-968-6 Mwanasiasa Swaleh Mdoe 450.00
25 971 4 Mahari na Mali Emmanuel Kariuki 530.00
25-631-7 Maji Shingoni P.N Geranija 420.00
uSHAIRI
Tutarudi MNA ROHO ZETU cover.pdf 1 22/11/2019 7:39 PM
ISBN TITLE AUTHOR PRICE Ben R. Mtobwa SIMULIZI SISIMKA
TUTARUDI NA Roho zetu?
25-799-4 Miali ya Ushairi PI Iribemwangi na K Wamalwa 420.00 TUTARUDI NA
Simulizi Sisimka ni vitabu vya kubuni ambavyo vinakusudiwa kusomwa ili
kujiburudisha. Vitushi katika hadithi hizi vinawanda katika maudhui ya
mahaba au mapenzi, uhalifu, mikikimikiki ya mjini, na maswala mengine
ya kumsisimua msomaji. Ploti ya vitabu hivi imesukwa kiasi cha kumfanya
msomaji kuganda palepale akifungua ukurasa mmoja baada ya mwingine
kutokana na ilhamu ya kutaka kujua kitakachofuata. Kwa yakini, vitabu
hivi ni burudani babu kubwa! Ben R. Mtobwa Roho zetu?
Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa
mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana
kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio
la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali.
SIMuLIZI SISIMKA M Y CM Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko
C
hurudi na roho yake.
Inspekta Kombora nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini
mashujaa wengi lakini anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo
MY CY CMY K la kusikitisha ni kwamba sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye TUTARUDI NA Roho zetu?
anatembea kutoka jiji hadi jiji akiwa na yule msichana mzuri Nuru. Juhudi
za Kombora kumsihi hazifui dafu. Badala yake Joram anafanya maajabu
mengine ambayo yanalichafua jina lake hapa nchini na kote duniani.
Wakati huo siku ambayo utawala huo umeweka ili kuachia pigo lao la
mwisho inazidi kukaribia. Sasa yamesalia masaa...
BEN R. MTOBWA, kama ilivyo kawaida yake, anailenga hadithi hii kwa
ISBN TITLE AUTHOR PRICE
zana mbalimbali zilizo pamoja na watu wenye bahati na wenye mikosi,
wasichana wenye sura nzuri na wale wenye sura mbaya. Ni hadithi kuhusu
mapenzi na chuki, uhai na kifo.
46-958-3 Dar es Salaam Usiku Ben R. Mtobwa 340.00 www.eastafricanpublishers.com SIMULIZI SISIMKA
SIMULIZI SISIMKA
46-939-7 Pesa Zako Zinanuka Ben R. Mtobwa 340.00
Nairobi • Kampala • Dar es Salaam • Kigali • Lusaka • Lilongwe
46-953-2 Najisikia Kuua Tena Ben R. Mtobwa 340.00
46-929-x Salamu Kutoka Kuzimu Ben R. Mtobwa 340.00
46-941-9 Tutarudi na Roho Zetu Ben R. Mtobwa 340.00
25-629-4 Mikononi mwa Nunda Ben R, Mtobwa 340.00
25-998-1 Harakati za Joram Kiango – Nyuma ya Mapazia Ben R, Mtobwa 340.00
25-997-4 Harakati za Joram Kiango – Mtambo wa Mauti Ben R, Mtobwa 340.00
25-996-7 Harakati za Joram Kiango – Dimbwi la Damu Ben R, Mtobwa 340.00
25-999-8 Zawadi ya Ushindi Ben R, Mtobwa 340.00
The Peak in Publishing 27