mambo unayoyapenda toka ukiwa chuo, nashauri sana kama unapenda kuwa YouTuber nk ni vizuri ukianza na ukaweka misingi toka ukiwa chuo, ila usisahau masomo, jua jinsi ya ku-balance. 115