Page 119 - Your Guide to University Life
P. 119
Cha muhimu ni kukumbuka kuwa wewe bado ni mwanafunzi – usibebwe na hela za vikazi vidogovidogo ukasahau kozi yako iliyokupeleka chuo.
(Kama ungependa kujua idea za biashara unazoweza kuzianzisha ukiwa chuoni, bonyeza hapa)
(Na kama ungependa kujua namna ya kuwa na matumizi mazuri ya pesa ukiwa chuoni, bonyeza hapa)
119