Page 19 - Your Guide to University Life
P. 19
-Pedi & toilet paper
-Khanga / vitenge
-Viatu (vya mtoko, vya kawaida ambavyo labda vitakuwa vya darasani na ndala za chooni) mara nyingi raba na mmasai vitakusaidia sana ukivibeba maana unaweza kuvivaa popote kuliko viatu vya juu.
Ni obviously kwamba vijana wa kiume mara nyingi hawana complications sana kwenye vitu vya kubeba lakini kwa mazingira ya chuo vitu hivi vitakua vya muhimu sana kwa kuanzia ;
-Nguo kadhaa za kuingilia lecture room ambapo hapa nazungumzia official outfits sawa na matakwa ya chuo utakachochaguliwa maana baadhi ya vyuo vipo na dressing codes, hivyo basi wanafunzi watatakiwa kuvaa sawa na matakwa ya chuo. So, hapa unaweza ukachukua cardets zako kadhaa, shati za mikono mirefu na fupi sawa na mfuko wako utakavyoruhusu
-Viatu official
-Raba na sandals ambazo unaweza kuwa unabadilishabadilisha.
-Nguo za michezo, hapa unaweza ukachukua jezi na fulana au track suits
-Nguo kadhaa za kushindia baada ya vipindi
- Vitu vingine kama ndoo za kufulia na kuogea mara nyingi zinakuwepo room utakapofikia (kama ukikaa hostel) na kama ukikaa nje ya campus pia utanunua sawa na makadirio ya mahitaji yako
19