Kuna uwezekano wa mambo mema kutokea hivyo nena / jisemee habari za matumaini na sio woga. Fikiria mambo chanya tu kuhusu safari yako hii mpya unayoianza. 17