Page 22 - Your Guide to University Life
P. 22

4 – Kukaribishwa na watu wa miaka ya juu
Watu wako tofauti, wengine watakuchangamkia kukukaribisha chuo, wengine watakupotezea, wengine watakutisha, wengine watakubeba kama mdogo wao, wengine watakudharau.
Kuwa na mahusiano mazuri na watu wa miaka ya juu ni jambo zuri sana kijamii ila sio kwamba ukiyakosa maisha yako ya chuo yanaathirika.
5 – Kusahau kabati lako ni lipi
Kama ilivyo kawaida kusahau chumba kama unakaa bweni, ndivyo ilivyokusahau kabati. Usiwaze sana utazoea tu.
  22





























































































   20   21   22   23   24