Page 52 - Your Guide to University Life
P. 52

- Ujasiriamali na ushawishi
- Kujilinda mwenyewe kimwili unapokuwa hatarini
- Kujisimamia na kujitegemea
- Kuwa na matumizi mazuri ya pesa, kuweka akiba na kuweka bajeti
- Kuendesha mahusiano na huku ukifanikiwa maeneo mengine pia ya maisha (sio kuwa Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe)
- Kuwa na tabia nzuri na kuishi na watu vizuri
- Kujua jinsi ya kukutana na changamoto ngumu utakazopitia maishani maana maisha pia yana changamoto zake kwenye sehemu mbalimbali utakazoenda
- Kusamehe wengine na kujisamehe mwenyewe
- Jinsi ya kuwekeza pesa
- Jinsi ya kuanzisha biashara yako
- Kuacha woga na kujaribu vitu mbalibali
- Mambo ya kufanya unapokuwa na msongo wa mawazo nk
52






















































































   50   51   52   53   54