Page 53 - Your Guide to University Life
P. 53

- Jinsi ya kuwa na uwiano kati ya kazi na maisha au masomo na maeneo mengine ya maisha yako kama vile mambo ya kijamii nk
- Kuwa na mipaka binafsi na watu kwenye maisha yako
- Mahusiano
Haya na mengine mengi hauwezi kufundishwa na wahadhiri, ila ni mambo ya msingi kujifunza labda kwa utafiti wako mwenyewe mitandaoni, kwa kusoma vitabu, kwa kujifunza kupitia wengine waliokutangulia (lakini kuwa makini na watu unaowasikiliza) au pia kujifunza kupitia mambo yale unayoyapitia kwenye maisha (kutoka kwenye makosa, maamuzi na experience yako ya maisha).
Vitu hivi na vingine ni vya muhimu kuvijua na vitakusaidia sana kwenye maisha kama utakuwa vizuri kwenye maeneo haya.
53





























































































   51   52   53   54   55