Page 50 - Your Guide to University Life
P. 50

zozote zinazojitokeza njiani kuelekea lengo / ndoto yako.
- Kukuza ubunifu wako
- Kujua sehemu zipi uko vizuri na maeneo yapi uko
vibaya
- Kupanga bajeti
- Kunyanyuka tena unaposhindwa
- Mawasiliano, jinsi ya kuwasilisha na kuwafanya watu wasikilize mawazo yako kwa kujiamini na kwa usahihi kama vile mawazo yako yalivyo kichwani mwako
- Kuchukulia na kuona kushindwa kwa jicho chanya
- Kuchagua na kupita njia unayoiamini hata kama uko
peke yako
- Kuwa mpweke ili usifanye maamuzi hasa ya mapenzi kwasababu ya woga wa upweke
- Kuwasoma watu zaidi ya vile wanavyojionesha wako wakiwa mbele yako
- Uongozi na saikolojia ya kuwaongoza watu
- Kujali muda wako na kufanya vitu kwa kwenda na muda wako unaoupanga
50




















































































   48   49   50   51   52