Page 49 - Your Guide to University Life
P. 49

- Kuongea mbele za watu
- Kuwasilisha mawazo yako
- Ukuaji wa kihisia kiasi cha kukubali katika hali chanya unapopewa mrejesho hasi
- Kukua kihisia kiasi cha kujua jinsi ya kuzidhibiti hisia zako bila kuumiza wengine au kujiumiza wewe, hisia kama hasira, uchungu nk
- Kujitambua
- Jinsi ya kupata marafiki wapya lakini pia jinsi ya kuachana nao ukiona hamuendani au wanakupotosha
- Jinsi ya kusimamia maamuzi yako unapoamua jambo hata kama utavunjwa moyo
- Jinsi ya kujisikiliza sauti yako ya ndani na kujishauri mwenyewe unapofanya maamuzi makubwa ya maisha
- Jinsi ya kuchuja yapi uingize kwenye maisha yako na yapi uyakatae (kudili na presha kutoka kwa watu mlio kwenye umri sawa)
- Subira unapofanya jambo kuelekea malengo yako hasa kama hayaendi / hayatimii kwa haraka kama ulivyotaka. Kuvumilia na kushinda changamoto
49
























































































   47   48   49   50   51