Page 47 - Your Guide to University Life
P. 47

-Jamaa ambaye huwa haogi au anatembea na mswaki barabarani au hata muda mwingine hapigi mswaki
-Jamaa anayechelewa lectures
-Jamaa anayelalamika chuo kigumu kila siku
-Jamaa anayekaa nyuma kila lecture na huwa anachati tu
(Usisite kunitumia DM au ujumbe WhatsApp – 0627975502, kuniambia aina nyingine ya classmate uliyokutana nayo ambao haipo kwenye kitabu hiki)
47





























































































   45   46   47   48   49