Page 67 - Your Guide to University Life
P. 67
Ni muhimu kujua kuwa ukiwa chuo mipango yako na ratiba zako kama mwanachuo ni vizuri zikitengenezwa kwa kuheshimu ratiba za masomo, kwa hiyo hata likija swala la jinsi unavyotaka kubalance au kupunguza mzigo wa mambo unayotakiwa kuyafanya angalia usifanye hili katika namna itakayoathiri masomo yako.
67