Page 15 - SWAHILI_SB02_Noah
P. 15

NUHU NA JAMII YAKE
          KUANZA KAZI
               KUILIMA NCHI.










                         KUJENGA MANYUMBA











                                                       KUWALINDA
                                                       WANYAMA.








                         KUTENGENEZA MAISHA
                         YAO MAPYA.
                            NI HISIA NZURI
                           KUJENGA KITU CHA
                          KUISHA BAADA YA SIKU                             NA NUHU AKAPANDA
                          MOJA AMA MBILI. EEH,                             BUSTANI.
                           AU SIO MANDUGU?













                          AFADHALI
                        KUJENGA MJENGO
                       USIOHITAJI KUPANDA
                         NGAZI YA FUTI
                        AROBAINI KWENDA
                            JUU!                    BAADA YA KUNYWA DIVAI,
                                                    AKALEWA.
                                                               MMM
                                                                    NZURI.
                                                                    TAMU.





                      LAKINI HEBU
                  FIKIRIA, SABABU KUBWA
                   YA KULIJENGA HEMA
                  HILI, NA SABABU KUBWA
                   YA KUIJENGA SAFINA NI
                   MOJA: TUSILOWE MAJI!
                                             MWANZ O 9:20-21
                                             MWANZO 9:20-21
   10   11   12   13   14   15   16   17   18   19   20