Page 17 - SWAHILI_SB02_Noah
P. 17

NDUGU NMESHINDA                                            LAKINI BABA…NI YEYE PEKEE
          NIKITAFAKARI, ILIKUWAJE BAADA                                  YAKE ALIYEKUWA MNYOOFU
            ADAMU NA HAWA KUTENDA                                          KATIKA KIZAZI CHAO!
            DHAMBI, JAMBO LA KWANZA                                          ALIYETEULIWA KWA
            WAO KUTAMBUA NI KWAMBA                                         WADHFA WA KUWAHIFADHI
               WALIKUWA UCHI.                                              WANADAMU KUTOKANA NA
                                                                          MAOVU YALIYOMHUZUNISHA
                                                                                MUNGU!



                                      KAKA NAKWAMBIA,
                                    WATENDA DHAMBI WENGI   BADO
                                     WAMEKWENDA, LAKINI   TUKO
                                     SIO DHAMBI YENYEWE.  HAI.

                                                                          YAFETI,
                                                                        USIMWANGALIE.
                                                                           HATUFAI
                                                                         KUIONA AIBU
                                                                            YAKE.





















           NI—NI NINI
          KILITENDEKA?
              MBONA
           NIMEFUNIKWA NA                                       NUHU, ULILEWA
             NGUO YAKE                                         DIVAI. UKAANGUKA
              SHEMU                                              HAPA,UCHI.
                                                                          WANAO WALIKUONA
                                                                        —HAMU ALIKUONA UCHI,
                                                                        AKAONDOKA KWA DHARAU,
                                                                         LAKINI WANAO WAWILI
                                                                        WAKAAMUA KUKUFUNIKA.



          HAMU? HAMU? ALAANIWE   NA MUNGU AWABARIKI    NUHU, SIO HAMU   WALA HAKUKUFANYA ULEWE
           KWA KUNIACHA UCHI!  SHEMU NA YAFETI KWA     ALIYEIWEKA CHUPA   HADI UJISAHAU. SIYE HAMU
                               KUNISAIDIA.                YA POMBE      ALIYEKUTOA NGUO.
                                                       MKONONI MWAKO.
                            HAMU NA AWE
                         CHINI YA WALIO CHINI!
                           MUNGU AWAINUE
                           WALE WENGINE
                             WAWILI.








                                                                                  BAADA YA YOTE
                                                                                   TULIYOPITIA,
                                                                                  TAYARIMIMI NA
                                                                               MWANANGU TUMEINGIA
                                                                                  KATIKA MAKOSA!
                                             MWANZ O 9:23-27
                                             MWANZO 9:23-27
   12   13   14   15   16   17   18   19   20   21