Page 18 - SWAHILI_SB02_Noah
P. 18

JAMII YAKE NUHU IKAZIDI
         KUKUA. WANAWE WAKAWA NA
         WATOTO WAO KILA MMAJA.
                                                            BABA!

                                                          NI WA KIUME!
                                                          TUTAMWITA
                                                           ARAMU!
                                                           MKE WANGU
                                                        YU VYEMA, WANAWAKE
                                                         WENGINE WANAM-
                                                          SHUGHULIKIA!







                                                        LAKINI NILLITAKA
                                                        UMWONE MJUKUU
                                                          WAKO WA
                                                          KWANZA!


















                                  ARAMI.























                                     KIZAZI CHA UOVU   TUNA AGANO NA
                                     KIMEONDOLEWA,   MUNGU YA KUWA
                                    LAKINI UOVU—HASWA   HATAITAKASA   SIJUI, NI AGANO
                                    UOVU WETU—HAUJA-  NCHI TENA KWA   LIPI MUNGU ATAFANYA
                                       ONDOLEWA.        GHARIKA    NA VIZAZI VIJAVYO ILI
                                                                    KUONDOA DHAMBI
                                                                        ZAO?





                                                             NA KUTOKANA NA HIZI JAMII, JUMUIYA NA MATAIFA
                                                             YA ULIMWENGU WALISAMBAA DUNIANI KOTE BAADA
                                                             YA GHARIKA…
                                             MWANZO 9:19, 28
                                             MWANZO 9:19, 28
   13   14   15   16   17   18   19   20   21