Page 10 - Your Guide to University Life
P. 10

Mambo matatu ya uongo utakayoyasikia kuhusu chuo.
  Hakuna kitu ambacho hautakisikia kuhusu hatua yoyote unayoiendea maishani, na hivyo pia hata ukiwa unaenda chuo au ukiwa chuo, utasikia maneno mbalimbali. Mengi yatakuwa ya ukweli lakini pia mengine yatakuwa ya uongo,
 na haya ni mambo matatu ya uongo ambayo niliambiwa kuhusu chuo ambayo baada ya kwenda chuo niligundua sio ya kweli.
-Chuoni bata
AH, hili linaongelewa sana, na utaambiwa sana au hata umeanza kuamini hili. Ukibalance muda wako unaweza ukaenjoy maisha ya chuo kwasababu ya uhuru utakaokuwa nao, ila sio bata kwamba maisha ya chuo ni rahisi, sio rahisi.
Kiukweli maisha ya chuo yanastress sana, mahitaji yake ni mengi. Attention, pesa, akili na muda vyote hivi inabidi ujue jinsi ya kuvibalance, kwahiyo jua kubalance muda wako na nguvu zako ili upate muda wa kula bata ila sio kwamba maisha yako yatakuwa bata muda wote.
  (Kujua jinsi ya kubalance muda unapokuwa chuo, bonyeza hapa kupata dondoo nilizoshea zilizokuwa zinanisaidia mimi kubalance muda nilipokuwa chuo)
-Bila laptop, chuoni hauwezi soma
Labda niseme hivi, kuna mambo mengi ambayo kuwa na laptop itakurahisishia kuyafanya, lakini asilimia 80 ya jinsi
  10

























































































   8   9   10   11   12