Page 9 - Your Guide to University Life
P. 9
vile mhadhiri ni kama mzazi wako na yuko pale kukusaidia kufanikiwa zaidi na kuelewa.
Lakini inaweza kuwa sio nzuri kama ukikutana na mhadhiri ambaye ana shida mfano kwa wanafunzi wa kike kukutaka kimapenzi nk, au kwa vile ni binadamu akawa na ugomvi na wewe. Ila unaweza kaa mbali na matatizo kwa kujitahidi kufuata sheria za chuo na zinazokuhitaji wewe mwanafunzi kufanya, kwa mambo kama mhadhiri kukutaka unaweza ripoti na hatua zikachukuliwa juu yake, hivyo usiogope, unalindwa na sheria.
9