Muda huu ndio muda wa kuchagua njia unayoifuata, unapokua kwenye maeneo mengine ya maisha ni muhimu kukua pia katika hili eneo kwa kuchagua kile unachoamua kukifuata. 139