Page 27 - Your Guide to University Life
P. 27
nilivyoona wengi waliokuwa wanakaa off campus walikuwa wanakula vizuri ukilinganisha na sisi tuliokuwa tunakula chochote kilichopo canteen na muda mwingine wiki nzima unajikuta unakula chipsi tu.
- Vyuo vingi vina muda wa kuingia hostel na mlinzi muda mwingine anafunga geti au kuzuia au kuwa na maswali mengi unapotamani kuingia au kutoka hostel hasa mida ya usiku.
Kama utaamua kukaa on campus/ hostel za chuo basi ni muhimu kufikiria kuhusu haya na jinsi utakavyoweza kukabiliana nayo.
27