Page 29 - Your Guide to University Life
P. 29

-Roommate anayependa kulala na taa ikiwa imewashwa -Roommate anayeleta watu wa nje kulala ndani
-Roommate anayetundika khanga na nguo mpaka haonekani
-Roommate anayefunga kanga ili asionekane
-Roommate anayepiga nyimbo au hata kanunua spika kwaajili ya kazi hiyo
-Roommate anayetumia ndoo na makopo ya chooni ya wenzie, huyu anapenda hata kushea nguo, viatu nk
-Roommate mwenye biashara na wote mnamuuzia biashara zake kwa mida anayokuwa hayuko room
-Roommate anayewasha taa mida ya kulala ili asome nk
-Roommate asiyejali mahitaji ya wenzie au kuheshimu vitu vya wenzie
-Roommate anayechelewa kurudi usiku
-Roommate mchoyo na vitu vyake / au mwingine sio mchoyo ila yuko kivyake vyake muda mwingine mnasahau hata kama mnakaa naye
(Nitumie DM au ujumbe - 0627975502 kuniambia aina nyingine ya roommate uliyokutana nayo ambao haipo kwenye kitabu hiki)
 29























































































   27   28   29   30   31