Page 63 - Your Guide to University Life
P. 63
-Jamaa anayekaa nyuma kila mkipresent ili asichaguliwe au asijibu maswali
-Jamaa asiyejua kama mmepewa assignment au imefanyika
-Jamaa anayeomba tu jina liandikwe kwenye karatasi zinazokusanywa
Ni muhimu kujua kuwa chuoni utakutana na watu mbalimbali na wenye tabia tofauti tofauti, chuo ni sehemu nzuri sana ya kujifunza jinsi ya kuishi na watu kwasababu ya wingi na upekee wa watu utakaokutana nao.
63