Page 71 - Your Guide to University Life
P. 71

Utapata marafiki wengi kwa kuwa msikilizaji mzuri, ila hakikisha kuwa hii inarudishwa kwako pia, usiingie kwenye urafiki na mtu ambaye kila siku unamsikiliza yeye tu, maisha yako pia yanavutia kuyasimulia, wewe pia ni wa pekee na unastahili kuonyeshwa kuwa una thamani, vile unavyowafanyia watu ndivyo unapaswa kufanyiwa.
Tofauti na ndugu, ambao hauwezi kuchagua, marafiki unaweza, hivyo chagua watu sahihi.
71
































































































   69   70   71   72   73