Page 74 - Your Guide to University Life
P. 74
unaishi mkoa tofauti nao au huwa hamuonani mara kwa mara.
- Tenga muda wa mambo ya kijamii, ni kweli kuwa hausomi masaa 24, hivyo tenga muda wa kukaa na marafiki, hii husaidia hata afya yako ya akili na kukuongezea furaha.
----
Binadamu tunahitajiana na tunahitaji urafiki, jitahidi kuwa na muda kwa ajili ya marafiki zako na kuendeleza urafiki uliopo kwenye maisha yako.
74