Page 78 - Your Guide to University Life
P. 78

Unaweza ukajiepushia maumivu, mawazo, kufeli au kuwa sehemu ya skendo kwa kujua hili mapema. Usiwe na haraka. Fanya kilichokupeleka kwanza, mengine ziada.
Ila kama unahisi uliyempata ndiye mwenyewe, endelea. Kwanza huwa inanoga kama mtakuwa mnaangalia picha zenu za mahusiano jinsi mlivyokuwa chuo mpaka huko mbeleni.
Ushauri wangu: Fanya maamuzi kwa kuangalia ndoto zako na maisha yako ya baadae. Usiwe na papara, nyumbani hawatakuelewa ukifeli au ukipata skendo kisa mahusiano. Hata wewe utajisikia vibaya na kujilaumu.
(Bonyeza hapa kujua sababu kuu za kwanini mahusiano mengi ya chuo huwa hayadumu)
   78






























































































   76   77   78   79   80