Page 99 - Your Guide to University Life
P. 99

Ila moyoni ondoa hasira naye za muda mrefu, usibebe watu moyoni muda mrefu, kuna wakati wa kuumia na kuna wakati wa kuachilia ili uishi ukiwa huru na mwepesi moyoni
- Endelea na masomo, wekeza nguvu au uchungu huo kwenye masomo na kumaliza chuo
- Kubali lililotokea na jifunze ili usikosee tena mbeleni
(Nimeongelea picha za ngono kwa wanawake kama mfano kwasababu sijawahi sikia skendo nyingi zikitokea kwa wanaume chuoni, kwa ufahamu wangu wa nilizosikia nyingi hufanywa na mwanaume ili kumdhalilisha/kumuumiza/kumkomoa huyo mwanawake au ni tabia tu za utoto na peer pressure)
99






























































































   97   98   99   100   101