Page 17 - SWAHILI_SB01Creation
P. 17
Katikati ya bustani kulikuwepo na miti miwili. Mti
wa mmoja ni wa uzima, uzima wa milele. Mti
mwingine wa maarifa ya kujua mema na mabaya.
Bwana akamwambia mtu ya kuwa aliruhusi-
wa Kula tunda lolote Kwa mti wowote katika
bustani, ila alimpa onyo Kali...
Usidhubutu kulila tunda
la mti wa maarifa ya kujua
mema na mabaya, Kwa maana
utakavyofanya hivyo hakika
utakufa.
Mwanzo 2:9, IS-17