Page 12 - SWAHILI_SB01Creation
P. 12

Siku ya sita ya juma la uumbaji,
            Mungu aliwaumba wanyama.
         Mungu akasema, Nchi na izae viumbe hai kwa jinsi zake,
         wanyama wa kufugwa, viumbe wanaotambaa, na
         wanyama wa mwitu kwa jinsi zake.



































































                                                                                                                                                                    Na ikawa hivyo.
                                                                                                                                                              Basi Mungu akawafanya wanyama wa mwitu kwa
                                                                                                                                                              jinsi zake, na wanyama wa kufugwa kwa jinsi zake,
                                                                                                                                                              na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi
                                                                                                                                                              yake.
                                                                                                                                                                           Na Mungu akaona ya kuwa
                                                                                                                                                                           ni vyema.
                                                                                                                                                                                  Mwanzo 1:24-25
   7   8   9   10   11   12   13   14   15   16   17