Page 9 - SWAHILI_SB01Creation
P. 9

Katika siku ya nne ya juma la uumbaji, Mungu aliumba
 jua, mwezi na nyota, mbingu pana.

 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili
 itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya majira
 na siku na miaka; tena iwe ndiyo mianga katika anga la
 mbingu itie nuru juu ya nchi.


 Na ikawa hivyo. Mungu akafanya mianga miwili
 mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo
 utawale usiku; akafanya na nyota pia.



























































                                                           Mungu akaiweka katika anga la mbingu ili  itie nuru
                                                           juu ya nchi, kutawala mchana na usiku na kuitenga
                                                           Kati ya nuru na Giza

                                                                 Na Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
                                                             Ikawa jioni na baadaye asubuhi, siku ya nne.

                                                                                 Mwanzo 1:14-19
   4   5   6   7   8   9   10   11   12   13   14