Page 5 - SWAHILI_SB01Creation
P. 5

Mungu akasema, "Na iwepo
 nuru," ikawa nuru.

 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema;
 akatenga nuru na giza.

 Mungu akaiita nuru "Mchana," na giza akaliita
 "Usiku." Ikawa jioni na baadaye asubuhi, siku
 ya kwanza.







































 Mungu akasema, Na iwepo anga katikati ya
 maji, likayatenge maji na maji.

 Mungu akaifanya anga na kuyatenga yale
 maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo
 chini ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaiita ile
 anga "Mbingu."





















                                                                      Ikawa jioni na baadaye asubuhi,
                                                                      siku ya pili.

                                                                                   Mwanzo 1:3-8
   1   2   3   4   5   6   7   8   9   10