Page 14 - SWAHILI_SB01Creation
P. 14

Siku ya sita, Mungu aliumba kiumbe kipya
        kutoka Kwa mavumbi.



















                           Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampuli-
                           zia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. Aliumbwa
                           Kwa mfano wa Mungu kuwatawala wanyama.



                                     Mungu alikiita hicho  kiumbe
                                     kipya, mtu na kumpa jina ADAMU.








                                                                           Mungu akaangalia uumbaji
                                                                           wake wote na akasema, "Ni
                                                                           nzuri sana."









































                                             Mwanzo  1:31-2:7
   9   10   11   12   13   14   15   16   17   18   19