Page 15 - SWAHILI_SB01Creation
P. 15
Sasa, Bwana Mungu alikuwa
ameipanda bustani upande wa
mashariki katika Edeni.
Hapo bustanini akamweka ndani
yake huyo mtu aliyemfanya.
Miti ya Ile bustani ilikuwa ya kutamanika
kwa macho na bora kwa chakula.
Ukungu ukapanda kutoka
ardhini, ukatanda na kuyatia
maji juu ya uso wote wa nchi.
Hata ingawa Mungu ndiye aliyeumba
shamba, alimpa binadamu jukumu la
kulichunga shamba.
Mwanzo 2:4-15