Page 11 - SWAHILI_SB01Creation
P. 11

Siku ya tano ya juma la uumbaji, Mungu
 aliijaza bahati na viumbe vinavyoishi.
 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi
 na viumbe vyenye vyenye uhai, na ndege
 wapae katika anga la mbingu.
 Basi  Mungu  akaumba  nyangumi
 viumbe wakubwa wa baharini, na kila
 kiumbe chenye uhai kiendacho majini,
 ambavyo vilijaa baharini kwa wingi wa
 jinsi zao, na kila ndege arukaye,
 sawasawa na jinsi yake.
























































                                                                     Na Mungu akaona ya kuwa
                                                                     ni vyema.
                                                                   Mungu  akavibarikia,  akisema,  "Zaeni,
                                                                   mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini,
                                                                   ndege na wazidi katika nchi.


                                                                     Ikawa jioni na baadaye asubuhi,
                                                                     siku ya tano.

                                                                                 Mwanzo 1:20-23
   6   7   8   9   10   11   12   13   14   15   16