Page 26 - TARGETED REPLACEMENT CAMPAIN
P. 26
KEY MESSAGES FOR THE TRC CAMAPIGN
- NAWEZA & ZIRO MALARIA
Throughout the SBCC activities’ implementation across
designated Wards of Lindi and Mtwara Regions, disseminated
themed messages on LLINs usage highlighted the Malaria
diagnosis, treatment and preventive therapies. Education
on Malaria symptoms and its social and economic toll was
additionally delivered to the engaged populations through
the below approved key talking points;
Talking Points during registration;
Na Hii Ni Taarifa Kwa Wakazi Wote Wa (taja wilaya husika)
........... Na Maeneo Yake.
Tumeshaingia Katika Zoezi La Ugawaji Wa Kuponi,
Ama Karatasi Itakayomuwezesha Mwananchi Kupata
Chandarua Chenye Dawa Ya Muda Mrefu
........ pindi Ugawaji Wa Vyandarua Utakapoanza.
Mkuu Wa Kaya Ama muwakilishi wa kaya Atakaye Kuwepo
Nyumbani, Anatakiwa Kuwa COURTESY CALL MEETINGS
Na Taarifa Muhimu Kuhusu Kaya Husika Pindi Mabalozi
Kutoka Wizara Ya Afya ............ watakapopita Nyumba Kwa
Nyumba Kwa Ajili Ya Uandikishaji.
Na Taarifa Anazotakiwa Kuwa Nazo, Ni Hizi Zifuatazo;
- Jina La Mkuu Wa Kaya
- Namba Ya Simu Ya Mkuu Wa Kaya
- Idadi Ya Jinsia Ya Kike, Pamoja Na
- Idadi Ya Jinsia Ya Kiume Kwenye Kaya Hiyo.
Ni Muhimu Kutunza Kuponi Ama Karatasi Utakayopewa
Mpaka Pale Ugawaji Wa Vyandarua Utakapoanza.
Ziro Malaria Inaanza Na Mimi.
Maisha Bora, Huanza Kwa Kusema Naweza.