Page 27 - TARGETED REPLACEMENT CAMPAIN
P. 27
Wakati Lile Zoezi La Ugawaji Wa Vyandarua Vyenye Dawa Ya Muda Mrefu Likiwa Bado Linaendela,
Talking Points During and After Distribution;
Tunakumbushwa Kuwa, Chandarua Chenye Dawa Ni Kinga Madhubuti Dhidi Ya Mbu Waenezao
Malaria, Na Wale Wabebao Vimelea Vya Magonjwa Mengine.
Na Kama Kila Siku Tukilala Ndani Ya Chandarua Chenye Dawa, Bas Kwa Asilimia Kubwa Tutaweza
Kupunguza Vifo Vya Watoto Na Watu Wazima… Vitokanavyo Na Huu Ugonjwa Hatari Wa Malaria.
Shiiime Mwananchi, Tupatapo Vyandarua Hivi, Ni Jukumu La Kila Mkuu wa Kaya Kuhakikisha
Wanakaya wote wanalala Ndani Ya Chandarua Chenye Dawa Kila Siku…Bila Kujali Msimu. Lakini
pia tukumbuke kusafisha mazingira yetu kama njia mojawapo ya kupunguza mazalia ya mbu.
Vyandarua Vinatolewa Bila Malipo Yoyote.
Ziro Malaria Inaanza Na Mimi. Maisha Bora huanza kwa kusema Naweza
Imeletwa Kwenu Na Wizara Ya Afya, Kupitia Mpango Wa Taifa Wa Kudhibiti Malaria Kwa Kushirikiana
Na Watu wa Marekani …………