Page 43 - Magazine 07 Of June 2024_Neat
P. 43
Baptistery - 2024 │ Message from Different Students
HADITHI KUHUSU FAMILIA ZA MA HADUI ZILIZOUNGANA Baada ya harusi ya Gunjan
pamoja na Abi Bauja mama
yake Raji naye alirudi akitoka
Uingereza (England). Manu
Watu wote walijua kuwa Hargit naye akampiga Simran aligundua kuwa hakukuwa
Manu alikuwa mvulana. Manu risasi .Raman na Simran walifariki tofauti yoyote kati ya Rajvir
na Raji waliendeleza urafiki papo hapo. Raji alidhani kuwa na Raji Bajua ilikuwa ni mtu
wakijua kuwa Familia zao ni Manu ndiye anamuua kaka yake mmoja. Alifurahi kumwona
maadui. Raman. Amrit Bajua alimchukua rafiki yake wa utotoni. Manu
Raji akampeleka Uingereza alianza kumsogelea Raji na
Siku moja Simran pamoja na (England) hakumpeleka mtoto kuzungumza mengi. Lakini
Raman walipanga kufanya wake wapili kwa sababu mtoto Raji hakugundua kwa urahisi
ndoa ya siri Manu na Raji ndio huyo alikuwa anampenda sana kuwa Pretty ndiye alikuwa
walijua kuhusu hiyo ndoa tu. baba yake (Hargit Bajua) kuliko Manu wa zamani. Siku moja
yeye. Baada ya miaka tisa (nine Raji aligundua kuwa Pretty
Wakati wa kufunga ndoa years later) na Manu ni mtu mmoja. Raji
Amba alipokea ujumbe wa alimkasirikia
mahali ambapo Raman na Manu. Manu
Simran wangefungia ndoa. aliomba Raji
Pia Hargit Bajua alipokea ms ama ha.
ujumbe huo huo. Hargit Raji akakubali
Bajua alikuwa na mwanamke wakajenga
mwengine wapili ambaye uhusiano wa
anaitwa Progia. Progia kimapenzi kwa
alikuwa anachukia mke wa siri. Wakapanga
kwanza wa Hargit (Armrit kufanya harusi
Bajua) na watoto wake. ya siri. Raji
Alipata nafasi ya kumuua alituma ujumbe
Raman. Raman na Simran Manu alikuwa mkubwa tena na kwa Amba pamoja na Hargit
walikuwa kati harakati za Raji. Raji Bajua alirudi lakini akiwa kuhusu mahali pa kufungia
kufunga ndoa Amba alifika kichwani mwake na fikra ya ndoa. Waliwakuta wakiwa
pamoja na Hargit wakiwa na kulipiza kisasi kwa Manu pretty wanafunga ndoa .Hargit
vikosi vyao wakanyoosheana Pawania kwani kulidhaniwa ndiye alimwambia Rajvir eti hii nini?
bunduki. aliuua Raman. Siku moja Amba Rajvir aliwaambia kuwa huyo
Pawania alikataa kumwozesha msichana ambaye alikuwa
Manu aliwambia waache mtoto wake wa pili Gunjan kwa mbele yao alikuwa Manu
ugomvi akawaambia kuwa mwanaume ambaye anaitwa Abi Pritty Pawania akafunga
Raman na Simran walikuwa Bauja. Amba alimwita mwana nywele zake kwa ishara ya
wanapendana sana. Hargit harusi huyo aliyetegemewa. kuwaonyesha kuwa yeye ni
na wengine hawakusikiliza Mwanaharusi alikuwa Raji msichana. Wote walimtambua
chochote. Manu alichukua Bajua lakini hawakumgundua Manu wakashangaa sana.
bunduki akamunyooshea kwa sababu alikuwa amepona
Raman kamwambia kuwa ulemavu aliozaliwa nao na Rajvir akasema kuwa na
kama wangewasogelea alijibadilisha jina akajiita Rajvir. yeye jina lake halisi ni Raji
angempiga risasi. Progia Alimpenda mschana ambaye Bajua akawaambia kuwa
alikuwa mbali alipata nafasi hakujua kuwa mschana huyo alisha pona ulemvu. Hargit
akakamata bunduki ndefu ndiye Manu Pritty Pawania. Manu alifurahi sana kwa kuona
akampiga Raman risasi alikuwa anajibadilisha kuwa mtoto wake akiwa amepona
wakadhani Manu ndiye wa kike. Manu alimwambia Raji na kuwashinda Pawania.
amempiga Raman risasi. kuwa anaitwa Pritty. Amba alifehedheshwa. Hargit
43
MAGAZINE OF COLLEGE ST JEAN NYARUSANGE │ VOLUME 07 │ 2023-2024