Page 42 - Magazine 07 Of June 2024_Neat
P. 42
Baptistery - 2024 │ Message from Different Students
HADITHI KUHUSU FAMILIA ZA MA HADUI ZILIZOUNGANA
Kwa sababu Charan ndiye alikuwa kiongozi
wa pawania. Mama yake (Jamvi)alisema
mtoto ambaye Amba angali amambeba
tumboni ndiye angekuwa kiongozi wa
Mwandishi : Mchoraji : Washauri :
MUTUYIMANA Ramadhan, IMPANO Pacifique S3B MURISA ISHIMWE Jimy S3D Pawania kwa sababu watoto wengine
S3D NIYONZIMA Josue S3B
wa Charan walikuwa wasichana. Kwenye
alikuwa na mwanamke mmoja ambaye tamaduni za siku hizo hakuna msichana
anaitwa Amba Pawania. Amba alilazimika ambaye angeweza kuongoza. Jamvi Pawania
kumlea mtoto wake wa kike kama wa kiume alisema kuwa siku ya kujifungua ikifika,
Pkwa sababu ya tamaduni za familia yake. mtoto akikuwa wa kike angeuliwa akiwa
Familia yake iliitwa Pawania na mume wake aliitwa wa kiume angekuwa kiongozi wa Pawania.
Charan Pawania na mama yake charan aliitwa Jamvi Siku ya kuzaa ilipofika Amba alizaa mtoto
Pawania. Amba alikuwa na watoto wawili wa kike na wa kike akamwambia mtu aliyemsadia
zaidi ya hayo alikuwa mjamzito. Mtoto wa kwanza kujifungua aseme kuwa amezaa mtoto wa
aliitwa Simran wa pili aliitwa Radika Pawania. kiume. Alisema kuwa Amba ameza mtoto
Kulikuwa na Familia nyingine ambayo inaitwa Bajua. wa kiume. Familia yote ikafanya sherehe
Hii Familia ilikuwa mpinzani wa Pawania. Kiongozi mtoto huyo walimwita Manu Pritty Pawania.
wao aliitwa Hargit Bajua. Mke wake aliitwa Amrit
Bajua alikuwa na watoto wawili. Wa kiume wa Kwenye familia ya Bajua pia Hargit Bajua
kwanza anliitwa Raman wapili alikuwa Rohan Bajua. naye alizaa mtoto wa tatu wa kiume ambaye
aliitwa Raji Bajua lakini Raji alikuwa na
Siku moja katika kijiji jirani kulikuwa na sherehe ulemavu kwa sababu hiyo Hargit alimchukia
ambayo vijiji mbalimbali havikusherehekea mtoto wake( Raji )akampendelea mtoto
isipokuwa kile cha familia ya Pawania pamoja na wake wapili Rohan.
kile cha Familia ya Bajua. Pawania pamoja na Bajua
walienda kwenye hiyo sherehe. Wakiwa kwenye
sherehe hiyo kulitokea mtu akawambia Pawania
kuwa mlima wao umekamatwa na moto. Charan
pamoja na mdogo wake (Jagan) walikimbia kuona
hali ya mlima wao ilikuwa je.Walijaribu kuzima
moto lakini Hargit Bajua aliwatuma vibaraka
vyake kuwashambulia Pawania. Kwenye hiyo vita
Charan alipigwa lisasi na Hargit Bajua akapoteza
maisha. Amba pamoja na wengine walimsubiri
Choranpamoja na Jangan lakini Jngan ndiye alirudi Baada ya miaka kumi na miwili, Manu
pekee. Walimzika Choran Amba akawa mjane Pritty Pawania walimwandikisha kwenye
akabaki na watoto wawili wakike pamoja na ujauzito. shule ambako dada yake Simran alikuwa
anasomea. Raman Bajua naye alikua
anasomea hapo .Walimleta pia na Raji
Bajua kwenye chuo hicho. Raman
Bajua na Simran Pawania walijenga
uhusiano ya kimapenzi .Manu Pritty
Pawamia na Raji Bajua walijenga
urafiki wa kweli lakini Raji hakujua
kuwa Manu alikuwa msichana kwani
alikuwa amelewa kama mvulana.
42
MAGAZINE OF COLLEGE ST JEAN NYARUSANGE │ VOLUME 07 │ 2023-2024